App hii inawasaidia vijana wengi kujifunza jinsi ya kujiajiri kupitia fulsa ya kilimo na ufugaji ambayo ni fulsa kubwa kwa Sasa nchini. Kila Siku Watu au binadamu lazima Wale chakula hii inatuhakikishia kuwa tukilima kwa kutumia utalaamu au tukifuga kwa kutumia utalaamu tutauza tu kwakua walaji wapo.
usihangaike tena wala usisikitike tena kuwa kilimo ulichokuwa unafanya hakikuwa na tija au ufugaji uliokuwa unafanya haukuleta mafanikio WEKA sasa ứng dụng ya kilimo na ufugaji kwenye Simu Yako uweze kujifunza kwa vitendo kilimo cha ZAO lolote lile au mifugo ya Aina yoyote ile.
App ina hii watalaamu Zaidi ya mmoja waliosomea vyuo vikuu vya kilimo kama SUA hivyo utapata elimu sahihi ya kilimo bora bora na ufugaji.
Saidia kupambana na umaskini kwa kushare ứng dụng hii ili iwafikie Watu wengi na tuzalishe mazao mengi Zaidi ya kilimo na mifugo.
Nchi Yetu ni Tajiri sana ina maeneo makubwa ina udongo mzuri kwa kilimo na ina maeneo mazuri kwa ufugaji ni sisi tu kuvitumia vyema fulsa hizi.
Kushare ứng dụng hii kwa marafiki watumie liên kết hii. (Coming soon)
Ukiweka app hii lazima ufanikiwe kuwa tajiri kupitia kilimo na ufugaji hapa nchini.
App ya kilimo na ufugaji ni mahususi kwa vijana wanaotaka kujiajiri kwa kilimo
App hii ina mafunzo ya kilimo bora, ufugaji bora na jinsi ya kulima zao lolote lile na kufuga mifugo yoyote ile
Share App hii kwa marafiki nao wajifunze kilimo na ufugaji ili Taifa letu liwe na chakula cha kutosha na kuwa na maisha bora kwa kila mkulima na mfugaji