Sasa unaweza kupata mafundisho ya Neno la Mungu Moja kwa moja kupitia App hii ya na ukwaweza kuendelea kujua mambo mengi kuhusu Neno
- Pata kujifunza neno la Mungu litakalo kuimarisha Kiimani, Kukubadilisha Mtazamo wa maisha yako ili uweze kumtegemea Mungu wa kweli na kuweza kudumu katika imani ya kikristo
App hii ni kwa watu wote wenye kiu njema ya kutaka kujua na kupata ufahamu zaidi wa neno la kristo aliye hai.
Ipakue sasa uweze kufurahia na kujengeka kiimani na kuendelkea kumjua mungu wa kweli na kuenenda katika njia impasayo yeye.
Mtoa Mafundisho ya imani katika App anaitwa Mwalimu Robin Mwenda
Kwa msaada zaidi wa kiimani unaweza kuwasiliana naye Moja kwa moja
whatsapp +255756814182
Jifunze Neno la Mungu kila siku.
Utapata Vitabu vya masomo mbalimbali
Utaweza kusoma Biblia takatifu kupitia App hii.
Mafundisho mapya kila siku
Unaweza kuchagua Muonekano unaouhitaji.
Sambaza App hii kwa watu wengine ili nao wapate kujifunza.
Ubarikiwe sana