Simulizi Za Sauti inakuwezesha kusikiliza hadithi kutoka kwa waandishi mashuhuli. Sasa kupitia Simu ya Yako mkononi, unaweza kupakua na kufurahia stori tamu zenye mafunzo na kufurahisha wakati wowote na ukiwa mahali popote.
- Bug fixes
- Improved Functionalities