Redio Yetu ya DarFm inakuwezesha kusikiliza miziki mipya na ya Zamani, Vipindi vya kimaisha kama mafunzo jinsi ya kutajika kwa kutumia mitandao ya kijamii, Utasikiliza simulizi za kusisimua ambazo huwezi kuzipata sehemu nyingine yoyote. Pia utaweza kutengeneza Pesa kwa kutuma vipindi ulivyovirekodi kwa kutumia Simu Yako kama hadithi, habari, miziki, na kadhalika. Weka ứng dụng hii Sasa kwenye Simu Yako. Kama unataka kusikiliza kwa kompyuta ingia darfmradio.blogspot.com. Dar tuansema fm "Tunaibua vipaji na kuinua wajasiriamali wadogo wadogo"
Sikiliza miziki mipya na vipindi vya elimu ya maisha kama kutajirika mtandaoni, mapenzi na mahusiano n.k.Dar Fm radio ni Redio ya kwanza Tanzania kuwajali wasanii na wajasiriamali wadogo