Kijiweni ni ứng dụng ya kijamii imayokuwezesha kuwasiliana na majamaa na marafiki.
Unaweza ku'chat 'na wananzengo, kuanzisha vijiwe na kukaribisha marafiki na jamaa zako ili kushirikishana taarifa kuhusu maada inayoendana na Kijiwe chenu.
Pia unaweza kujiunga na vijiwe mbalimbali ambayo wanaKijiwe wameanzsha na kuweza kuchangia maada yako.
Karibu !!!
Kijiweni v0.2.27
Kwenye toleo hili
- Tunaorodhesha vijiwe vyako kuendana na vijiwe vyenye meseji mpya
- Uwezo wa kuhariri taarifa zako
- Uwezo wa kuongeza picha kewney account yako
- Maboresho mangineyo
- Tume fix matatizo kadhaa amabyo yalukuwepo kwenye toleo lililopita kamavile tatizo kwenye ku-login