Je, Ulishawahi kusafiri kwenda sehumu, na hujui utakula wapi, utalala wapi, na kwa shilingi ngapi?!
Nitafutie itakusaidia maswali hayo.
Inakuwezesha kutafuta, au kusajili huduma muhimu katika maisha.
Unaweza kutafuta au Kusajili huduma au vitu vifuatavyo:
1. Shule
2. ATM
3. Hotel
4. Kumbi mbalimbali
5. MC
6. Migahawa
7. Saluni za kunyoa au mapambo
8. Usafiri
9. Wapambaji wa shughuli mbalimbali.
Nitafutie Enables you to do the followings:
Register or Find
1. Schools in Tanzania
2. ATM
3. Hotels
4. Venues
5. MC
6. Cafe
7. Saloon
8. Transport
9. Decorators .
and more.
The app enables you not only to find services but also to refine parameters based on what you are looking for. For Example:
you can find cheapest hotel in Tanzania.