Kitabu cha Tumwabudu Mungu Wetu chenye Nyimbo, Liturgia na Kalenda. Pia utaweza kutuma michango kupitia app hii na kama una maswali, maoni unaweza wasilisha kupitia Maoni tutayafanyia kazi.
Malipo yamerahisishwa sana. (Kwa sasa malipo ni moja kwa moja ndani ya app bila kutoka nje.)
JINSI YA KUNUNUA KITABU
1. Tải xuống kitabu na kukiinstall kupitia hapa Playstore (N: B hutaweza kufungua Nyimbo mpaka utakapo kilipia)
2.Sajili namba yako ya simu kwenye ứng dụng
Muhimu:
Hakikisha una salio lisilopungua sh 3.000 / - kwenye namba uliyosajilia (ili kupata nyimbo na liturgia), Sh1.000 / - kupata kalenda
Kama huna salio kwenye namba uliyosajili ni vizuri kujaza salio kabla ya kubonyeza xông nunua sasa xông
3.Bonyeza Sau NUNUA SASA
Kwa wateja wa TIGOPESA na MPESA malipo ni moja kwa moja ndani ya app bila kutoka nje, ứng dụng fuata jinsi inirlokuelekeza
Kwa wateja wa AIRTELMONEY tu Bonyeza NUNUA SASA, nakili namba ya kampuni pamoja na kumbukumbu namba ya kufanya muamala. Utahitajika kutoka nje ya app kufanya muamala, hakikisha unafanya muamala kwa kutumia namba uliyosajilia kwenye kitabu (usitumie namba nyingine tofauti na uliyosajili kwenye kit
Kwa wateja wa nje ya nchi tumia PESAPAL lipa kwa thẻ tín dụng au tùy chọn mbalimbali zinazotolewa na pesapal
Leseni (giấy phép) ya matumizi ni kwa namba moja ya simu uliyosajili kwenye kitabu, ndio inayotambuliwa kwa miamala yote
Pia tuma mchango / sadaka au chochote kupitia ứng dụng hii kwa kutumia sehemu ya CHANGIA
Kama una maswali, maoni unaweza wasilisha kupitia sehemu ya MAONI (tutayafanyia kazi)
MABORESHO YALIYOMO
* Nyimbo zote 440 kwa usahihi
* Kalenda ya 2019
* Liturgia iliyoboreshwa (toleo jipya la 2019)
* Tafuta ukurasa wowote wa liturgia
* Tafuta kifungu chochote (văn bản / cụm từ) ndani ya liturgia
* Tafuta wimbo wowote kwa namba au jina
* Unaweza toa maoni yako mojakwamoja kupitia kitabu yatatufikia
* Unaweza kutoa mchango wako kupitia changia
* Neno la siku (thông báo)
* Malipo yamerahisishwa kwa wateja wa mitandao ya VODACOM, TIGO na Airtel
MABORESHO 2019
Kitabu Kipya Cha Nyumba Kwa Nyumba 2019
Nyimbo zote 440 kwa usahihi
Kalenda ya 2019
Malipo yamerahisishwa kwa wateja wa mitandao ya VODACOM,TIGO na Airtel
Liturgia iliyoboreshwa(toleo jipya la 2019
Kwamsaada PIGA 0764931035