App hii imejaa maombi mbalimbali kwa ajili ya kusaidi nyakati mbalimbali za magonjwa, shida na mauza uza, ndani ya app kuna Maombi ya kujinasua na roho za Regihawi, waganga na mizimu, Maombi ya kuvunja vagano kujifung ya kuvunja vagano kujifung , Maombi ya baraka na kufunguliwa, Maombi ya riziki na biashara
Sala Na Maombi App, imebeba maombi ya kusaidia nyakati mbalimbali na pia kukufanikisha kwenye kila nyakati ngumu