Maduka Yetu inarahisisha upatikanaji wa Biashara Mtandaoni.
MadukaYetu inaorodhesha Huduma na Bidhaa kwenye jamii yetu kwa ajili ya Watu Wetu!
Kwa Muuzaji: Fikia soko kwa upana zaidi. \ NMadukaYetu, ni ya Watu Wetu, kwenye jamii yetu!
Kwa Mteja: Unacho kipenda, ndicho unacho kiona. MadukaYetu inajifunza tabia zako, na kupendekeza kulingana na mahitaji yako.
Karibu.
Asante kutumia MadukaYetu
Kwenye toleo hili:
- Tume update UI elements mbalimbali
- Maboresho madogo madogo (Bug fixes & Performance Improvements)