Nunua na Kuuza bidhaa Bora kwa bei ya Maelewano.Maelewano yanawaunganisha wateja na wauzaji.Maelewano.com unapata fursa ya kutafuta chochote unachohitaji!
Mfano:
Elekroniks, magari, mahitaji ya Nyumbani, Mavazi / urembo, sokoni, Vifaa vya ujenzi, Wataalam na Mafundi, Maduka, Kazi, Mifugo Na mengineo Mengi.
Pia unaweza wasiliana na muuzaji ama wateja wako kupitia Maelewano.com
Bug Fixes and Feature Enhancements