Zackfinance ni kampuni inayojishuhulisha na shughuli za mikopo midogomidogo, ukusanyaji madeni na ushauri wa biashara kwa wajasiriamali iliyo sajiliwa na jamuhuri ya muungano wa tanzania yenye reg không 211.495.
Zackfinance ilianza rasmi Kazi mwaka 2011 inchini Tanzania kwenye Makao makuu bunju B, DSM, Tanzania, na mpaka Sasa ina matawi 2 ambayo ni ilala bungoni na ubungo mawasiliano.
Zackfinance ni kampuni ya kizalendo yenye nia (tầm nhìn) ya kumsaidia mjasiriamali mdogo (mchanga) kuanzisha, kukuza na kuendeleza biashara na mawazo Yake ya kibiashara.
New UI / UX
Fixed bugs
Create profile
Post your own business