Ni mtandao wa kilimo unaotumia malighafi za kilimo na masoko yaliyopo Tanzania na Phi kwa jumla ikiwa imelenga wakulima wadogo wa kati na wakubwa katika kuwapatia njia bora za
Kangetakilimo inawawezesha na kuwapa uwezo wakulima wadogowadogo kwa kutumia technologia katika kilimo kwa mlengo wa kulima kibiashara.
Kutokana na changamoto za kilimo na uhaba wa wataalam wa kilimo Tumeamua kuanzisha chombo kangeta kilimo ambacho kitakuwa kinawaung Biếna wakulima, wafugaji na wataalam wa kilimo kwa urahisi hata
- kumsaidia mkulima kutatua tatizo la visumbufu vya mazao na mifugo kama magonjwa na wadudu waharibifu kwa urahisi na uharaka kwa kutuma picha au ujumbe kisha
- Kumsaidia mkulima kuweza kupata masoko ya mazao yake kwa urahisi na kupitia simu yake.
- Kumsaidia mkulima kufahamu mbegu bora, mbolea, viwatilifu, visumbufu vya mazao, vinyunyizi kwa kutumia simu yake
2 MATARAJIO
- mkulima atapata taarifa za magonjwa na visumbufu vya mazao kutoka kwa kangetakilimo app anachotakiwa ni kutuma picha ya zao lililoathiriwa au ya mdudu anayeh
- pia taarifa za masoko zitapatikana kwa wakulima kupitia mfumo nilioutaja hapo juu.
Changamoto
Ulimwengu umefanya juhudi kubwa kupunguza umasikini. Mwaka 1990 asilimia 43% ya idadi ya watu katika nchi zinazo endelea wanaishi chini ya dola 1 kwa siku. Mnamo mwaka 2010 idadi hiyo ilipungua kwa nusu na kufikia asilimia 21.
Ingawa bado kuna idadi ya watu wafikao milioni 900 ulimwenguni ni Wasteani wa asilimia 70% ya idadi hiyo wanaishi vijijini, wengi wao bado wanafanya kilimo kwa ajili ya
Kangetakilimo imeona biashara ni njia nzuri ya kuondoa umasikini ambayo kila mtu anaweza kuishi na kuwa na hakiba. Kuinua kilimo ni njia muhimu katika kufikia malengo.
Lông thú
Ingawa fursa ni nyingi ulimwenguni, asilimia 60% ya watu masikini ulimwenguni wanaishi Châu Phi. Kiasi kikubwa cha ardhi ambayo haitumiki inapatikana Châu Phi.
Wakati huo huo matazamio ni kwa idadi ya watu Châu Phi ambayo inirthajiwa kuongezeka mara mbili ya tỷ mbili ifikapo mwaka 2050. Ardhi na wafanyakazi vinapatikana. Changamoto moja itakuwa ni kutumia malighafi hii kufikia mahitaji yanayokua ya chakula.
Suluhisho linabaki katika kuongeza uwezo wa uzalishaji wa kilimo kendingana na UNFAO. Châu Phi inauwezo wa uzalishaji asilimia 24, America ya kati asilimia 35, na Asia ya kati asilimia 36. Ulimwengu umeoa kuna Fulsa kubwa ya kilimo Châu Phi.
Mapinduzi ya kilimo Châu Phi yameendelea lakini mapinduzi haya ya kilimo yanajumuisha na kuwafaidisha masikini wanaoishi vijijini na mipakani mwa Châu Phi.
Mnyororo wa thamani
Wakulima wa vijijini wa Châu Phi n n Kuna mitandao ya wakulima kulasa za facebook, twitter na istagram, makundi ya watapp
Kutakuwa na mtandao wa kanda utakaoongozwa na wajasiliamali wadogowadogo na wazalisha ajira mbalimbali katika ngazi ya jamii.
Tunahamasisha kubolesha maisha ya watu katika Nyanja zifuatazo;
• Afya
• Maji safi
• Maswala ya fedha
• Loại bỏ
• Msaada wa kitaalamu
• Jamj Kujitambua / kufahamu
• Kujua jinsi ya kuanzisha jambo
• Kukuza uchumi.