Malimbe Market Store Ni App Inayotangaza Bidhaa Za Aina Tofauti tofauti Na Kuweza Kumkutanisha Muuzaji Na Mnunuzi. Ứng dụng Pia Hii Humpa Fusa Mtumiaji Kuangalia Bidhaa Anazohitaji Silizopo Sokoni.
Ứng dụng Hii Imelenga Hasa Kwa Wakazi Wa Mwanza na Madhumuni Yake Ni Kuuza Bidhaa Mbalimbali Na Kununua Kwani Inaunganisha Baina Ya Muuzaji Na Mnunuzi Wa bidhaa.
Ứng dụng Ina Sehemu Tofauti tofauti Za Bidhaa Kwani Kila Bidhaa Ina Sehemu Yake Ukibofya Utakutana Na Bidhaa Za Aina Hiyo Zilizopo Sokoni.