Ứng dụng inakupa neno linalogusa maisha yako ya kila siku kutoka Biblia Takatifu. Ina mkusanyiko wa Mistari kutoka vitabu Mbali mbali vya mitume, kama;
& # x25BA; Kitabu cha Paulo
& # x25BA; Kitabu cha yohana
& # x25BA; Warumi
& # x25BA; Kitabu cha Zaburi
& # x25BA; Mwanzo
& # x25BA; Kitabu cha Mithali
& # x25BA; Na Vingine
Yapatikanayo;
& # x2756; Neno la kutia Moyo Pindi unapitia wakati Mgumu
& # x2756; Kumjua MUNGU na Kumtukuza
& # x2756; Kujenga na Kuimarisha Imani
& # x2756; Neno kuhusu Maisha ya Kila siku
& # x2756; Funzo juu ya Hekima na Maarifa
& # x2756; Simulizi fupi za Manabii na Mitume
& # x2756; Sala Fupi
Ubarikiwe Sana .....