?Bahati Nasibu ni application ambayo inakuwezesha kupata kipato kwa njia halali bila na yenye uhakika kwa kutumia simu yako ya mkononi tu.
??Application hii itakuwezesha kushiriki katika Bahati Nasibu yake ya kulinganisha namba tatu ambazo hazunguka zunguka.
??Pale utakapo weza kulinganisha namba hizi zote tatu na zikafanana basi utahitajika kuweka namba yako ya simu na utapokea kiasi cha shilingi elfu moja ndani ya masa 48.
??Haiishii hapo, kwa kila unapocheza una pata pointi moja, ukifikisha pointi 1000, basi utatumiwa elfu moja taslim katika simu yako ya mkononi.
?Unangoja nini? Changamkia bahati yako!
?Tumefanya marekebisho ya kiufundi yaliosababisha kushindwa kupata taarifa za washindi na kufanya malipo.
?Tafadhali update App yako ili uweze kulipwa kama ulikua unatumia Application ya Bahati Nasibu.