Biblia ni andiko linaloendelea kusimama tangu enzi na enzi maana imekuweko, iko na itaendelea kuweko. Elimu iliyomo katika kitabu hiki haijawahi kulinganishwa na kitabu chochote kilichowahi kuweko katika dunia hii. Mục sư Fuatilia vizuri na kwa ukaribu kupitia Mgogo ambaye Mungu anamtumia kuifundisha biblia kwa usahihi. Naamini hatakuacha bure katika mafundisho yake, utaimarika kiroho zaidi ya ulivyo sasa.
BIBLIA INAFUNDISHA, FUATILIA KUPITIA APP HII UPATE ELIMU YA TOFAUTI