Deutsche Welle (DW) ni kituo cha habari ambapo lugha ya Kiswahili pia hutumika. Jipatie habari kutoka pande zote duniani, zilizotokea leo hii na zinazotokea sasa. DW hukusanya na kuripoti habari zinazogusa nyanja zote ikiwemo matukio ya kisiasa, kiuchumi, michezo na burudani, na kila aina ya taarifa au matukio yanayoihusu jamii ya mwanadamu. Endelea kufuatilia kituo hiki ufaidike na taarifa kupitia watangazajiake mahili.
Deutsche Welle kituo chako mahili kwa taarifa na matukio ya kila siku.