Mondi Karanga ni GEMU la Aina Yake. nafasi Unapata ya kucheza na marafiki na kushindana kufika katika Kumi bora ya wachezaji Mondi Karanga.
Limetengenezwa kama kamera ili kukuwezesha wewe mchezaji kucheza GEMU Hili ata kama unatembea barabarani Bila ya kujikwaa.
Linafaa kuchezwa wakati wowote kama ukiwa kwenye dala dala kwenye foleni, chumbani kwako au hata thanh na washkaji.
Furahia GEMU Hili.
Sambaza Upendo.
Few bug fixes that caused app crashes.