AfyaTrack Ứng dụng ni ứng dụng pekee na ya kwanza nchini Tanzania na Afrika Mashariki kukuletea huduma za ufuatiliaji afya mtandaoni kwa lugha ya Kiswtionary.
MATUMIZI:
Ứng dụng Kwa ujumla ya AfyaTrack inakuwezesha:
1. Kupata ushauri kwa makala na nyenzo mbalimbali kukusaidia "KUPATA UJAUZITO" wenye afya na kwa wakati.
2. Kufuatilia maendeleo ya "UJAUZITO" wiki hadi wiki tangu kutungwa kwa mimba mpaka kujifungua.
3. Kufuatilia hatua za ukuaji na maendeleo ya afya ya "MTOTO" tangu kuzaliwa mpaka miaka mitano (5).
4. Kujiunga na kuwasiliana na "JAMII" kubwa ya wajawazito na wazazi wengine kwenye mtandao wa AfyaTrack.Com na forum zake kwa ujumla.
KUJIUNGA:
Kujiunga ni rahisi sana. Utahitaji kuwa na E-mail yako, namba yako ya simu na tarehe yako ya kuzaliwa tayari kuweza kujiunga na AfyaTrack ứng dụng. Baada ya kujiunga na kuingia ndani ya app (Đăng nhập) utachagua huduma unayotaka kufuatilia halafu ingiza tarehe husika, kisha utapelekwa moja kwa moja kwenye ukurasa wa ufuatiliaji hud.
Unaweza ukabadilisha taarifa za "Tài khoản" yako hapo baadae, ikiwemo kubadilisha huduma unayotaka kufuatilia kwa kubonyeza alama ya uso (biểu tượng khuôn mặt) iliyopo juu kabisa
HAKI MILIKI:
Taarifa, Makala na Ushauri wowote uliopo kwenye AfyaTrack ứng dụng na AfyaTrack.Com ni mali ya AfyaTrack. Kunakili, kuchapisha au kushirikisha wengine kwenye tovuti nyingine au mitandao ya kijamii bila kutushirikisha au kuomba idhini kutoka uongozi wa AfyaTrack ni kwenda kinyume
ANGALIZO:
Taarifa na maelezo yote yaliyopo kwenye app hii na tovuti ya AfyaTrack.Com yasitumike kubatilisha au kama mbadala wa ushauri na huduma kutoka kwa mtaalamu toka kitu AfyaTrack chini ya Afya4Tất cả nhóm
Taarifa na ushauri huu usitumike kama mbadala wa ushauri utakaopewa na daktari, mkunga au mtoa huduma kutoka kituo rasmi cha afya.
Kama una wasiwasi au tatizo kuhusu ujauzito au mtoto wako tafadhali wasiliana na daktari wako au mtoa huduma wa afya karibu yako.
Timu nzima ya AfyaTrack inakutakia ujauzito mwema, kujifungua salama na malezi mema na afya bora kwako na kwa mtoto wako.
NASILIANA NASI:
Web: http://afyatrack.com
Facebook: http://facebook.com/afyatrak
Twitter: http: @afyatrak
Instagram: @afyatrack
HUDUMA KWA WATEJA:
Tunajitahidi sana kufanya kazi kwa priceii kuboresha huduma za AfyaTrack ili kukuwezesha kupata taarifa sahihi na kwa wakati. Je una ushauri au mawazo ya kutusaidia kuiboresha ứng dụng hii? Tuandikie barua pepe: feedback@afyatrack.com
**Marekebisho ya Tatizo la Kutohesabu Umri wa Mtoto kwa Usahihi**
Kurekebisha tatizo la baadhi ya watumiaji kushindwa kujiunga
Kuboreshwa kwa muonekano na mfumo wa app kwa ujumla
Kuongezwa kwa huduma ya “KUPATA UJAUZITO”
Kuboreshwa kwa huduma ya “MTOTO”
Kuongezwa kwa Nyenzo (TOOLS)
Uwezo wa kujiunga na JAMII ya wajawazito na wazazi wengine
Jiunge kwa namba ya simu au E-mail
Badili password uliyoisahau kiurahisi