Karibu Efatha Bộ mahali Yesu anatenda Kazi, Marko 07:34 “Akatazama juu mbinguni, akaugua, akamwambia, Efatha, maana Yake, Funguka”. Natangaza hakuna kitakacho yafunga Maisha yako.Ni Jambo Gani linalokusumbua? Ni magonjwa ?, uchawi ?, Umaskini ?, Una kiu ya kufahamu Neno la Mungu ?. Efatha kuna majibu Yako, Efatha ipo Kila Mkoa / Wilaya hapa Tanzania. Acha kuteseka, Yesu anasema”Njoni kwangu, ninyi nyote msumbukao na wenye kulemewa na mizigo, nami nitawapumzisha. “(Math 11:28). Bofya hapa kupata Namba za Wachungaji wa Mikoa.