IFAHAMU CHAPEO YA WOKOVU. (Chapeotz) Tunakusalimu ka tika jina la Yesu Kristo aliye hai. Ukisoma bibilia kitabu cha neno la Mungu, Waefeso 6: 17 inasema; "Tena ipokeeni chapeo ya wokovu, na upanga wa Roho ambao ni neno la Mungu." Neno hilo la Mungu katika kitabu hicho ndilo lililotufunua na kuanzisha mtandao wa kijamii ambao tumeupa jina la CHAPEO YA WOKOVU. Sababu ya kuanzisha mtandao huu ni kuwafikia watu wengi zaidi kwa urahisi, na kwa muda mfupi, có kwa kuzingatia mabadiliko ya ulimwengu wa leo.
Swahili Language