Katiba ya Kenya App iliyo kwenye mtandao wa Android ni toleo la Kiswahili la Katiba ya Kenya, inayotoa maelezo yaliyo rahisi kusoma, yanayomwezesha MTU kutambaa katika sura, vifungu, na sehemu zote za Katiba, kwa njia rahisi. Haya yote Yako kwa mara ya Kwanza katika Android, kwa lugha ya ya Taifa Kenya: Kiswahili.
*UI Improvement and Better User Experience
*Added User Registration
*Introduced Premium Explanations for Selected Articles
*Introduced Monthly Payments Feature.
*Introduction Slides of the Katiba and Terms and Conditions