Ni mfumo wa tecknologia ulioanzishwa Ili kuwezesha kukusanya mapendokezo na matatizo ya vijana mbalimbali haswa walio mtaani kuweza kushiriki katika kutengeneza hệ thống ambayo itaweza kuwakusanya mahali pamoja kulinga na vipaji vyao na kuweza kujulikana na kijitangaza ili kufungua njia bali mbali kuweza kuonyesha vipaji vyao katika jamii ili Siku Moja waweze kujipatia mkate wao wa Kila Siku.
vijana wa mwanza wanaweza kutoa maoni ,ushauri na mapendekezo