Mapenzi Konki ni app mahususi itakayokuwezesha kupata Elimu ya mapenzi, mahusiano, urafiki n.k.
Tubadilishane mawazo kuhusu mapenzi, mahusiano, urafiki, familia na kushauriana.
Utapata majibu ya maswali mengi kuhusu mapenzi na mahusiano mtandaoni;
- Mazedira gani ya hatari uliwahi kufanya tendo la ndoa?
- Je! Ni SMS zipi za mapenzi za kukuacha hoi ulizokutana nazo?
- Meseji zipi za mapenzi za kumtoa nyoka pangoni?
- Maneno gani matamu unayoweza kumwambia unayempenda kwa dhati?
- Ni vyakula gani vinavyoweza kuimarisha tendo la ndoa?
- Kwa nini baadhi ya vijana hawapendi kutumia kinga?
- Je kifaa cha kujisisimua kinaweza kukuzuia kufurahia mapenzi?
Jifunze maujanja zaidi kama;
- Jinsi ya kufanya tendo la ndoa na mwanamke wakati wa ujauzito.
- Makosa wayafanyayo wanaume wawapo kitandani na mpenzi mpya.
- Sehemu zenye hisia zaidi kwa mwanamke.