"Kilimo na Ufugaji E.A" ni Application ya Kwenye Simu ya Mkononi Ambayo Inakupatia Fursa ya kuweza kupata elimu kuhusiana na masuala mazima ya kilimo na ufugaji, Ndani ya HiYo ứng dụng utaweza kupata makala, masomo na habari mbalimbali kuhusiana na Shughuli za kilimo na Ufugaji. Ndani ya "Kilimo & Ufugaji E.A" App pia utaweza kupata fursa mbalimbali kuhusiana na masoko ya nafaka zitokanazo na shughuli za kilimo na ufugaji. Tải leo na uweze Kujifunza kilimo cha kisasa na cha kibiashara.
Imeboreshwa zaidi