Ufugaji yakinifu App Tumekuletea elimu ya ufugaji kiganjani mwako, Sasa pakua ứng dụng ya ufugaji yakinifu uweze kupata masomo mbalimbali yahusuyo ufugaji yanayotolewa na wataalamu wa mifugo walionbobea kwenye Nyanja za ufugaji, Kupitia Ufugaji yakinifu ứng dụng utaweza kupata masomo yahusuyo ufugaji yanayotolewa Kila Siku kupitia Simu Yako ya mkononi , Pia kupitia hii ứng dụng utaweza kupata ujumbe mfupi (Notification) punde tu Somo jipya linapo chapishwa, [pia ufugaji yakinifu ứng dụng inakupatia nafasi ya kupata masomo yahusuyo ufugaji hata kama hauna mb kwenye Simu Yako. Usisahau ku-phần kwa rafiki naye apate ujuzi huu adimu, pia bình luận Yako ni muhimu sana kwa uboreshaji wa ứng dụng hii.
Imeboreshwa zaidi, sasa unaweza ukasoma masomo hata kama hauna MB